KARIBU MULKIM FRESH

Jipatie Mahitaji Ya Jikoni Kwako, Moja kwa Moja Kutoka Shambani.

Mulkim Fresh

Tunahusika na kuhudumia na kurahisisha jamii kupata mahitaji yake yote ya nyumbani hasa jikoni moja kwa moja toka shambani kwa gharama nafuu zaidi

KUHUSU SISI

Mulkim fresh imesajiliwa ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa madhumunu ya kuhudumia na kurahisisha jamii kupata mahitaji yake yote ya nyumbani hasa jikoni moja kwa moja toka shambani kwa gharama nafuu zaidi. Mulkim fresh imesajiliwa na brela pamoja na mamlaka ya mapato Tanzania.

LENGO LETU

Kuhakikisha tunasapoti na kujali afya bora za wateja wetu kwa kuwafikishia kile kilicho bora zaidi kwa kuzingatia ubora na gharama nafuu za bidhaa zetu.
Kumsikiliza na kumfikishia mteja wetu bidhaa aliohitaji kwa haraka na gharama nafuu zaidi.

THAMANI YETU

• Kufikia matarajio ya wateja wetu kwa kuzingatia ubora

• Kuhudumia na kuendelea kuboresha huduma zetu kulingana na mahitaji ya wateja wetu

• Kujenga uaminifu kwenye kuhudumia wateja wetu

• Kuzingatia muda na ubora wa huduma

• Kuboresha afya za wateja wetu na jamii inayotuzunguka kwa ujumla

Kwa kuzingatia haya yote mulkim fresh inao watu makini wenye uzoefu na weledi wa kutosha na utayari wa hali ya juu kuhakikisha tunakuhudumia vizuri. Huduma zetu zinapatikana muda wote 24/7.

HUDUMA ZETU

• Kuuza na kusambaza bidhaa zote za nafaka kama mchele,magarage,ngano,uwele,mtama na m´nk kwa bei za jumla na rejareja
• Kuuza na kusambaza mboga mbalimbali toka mojakwamoja kwenye shamba la mulkimfresh
• Kuhudumia mashuleni nafaka na bidha mbalimbali
• Ushauri wa kitaalam kuhusu masuala ya chakula na afya
• Kuuza na kusambza kuku wa kisasa na wa kienyeji kwa bei ya jumla na rejareja

© 2020 Copyright - Mulkim Fresh